Home Kenyan Music LYRICS: Guardian Angel – Utafurahi

LYRICS: Guardian Angel – Utafurahi [Download Song]

107
0

DOWNLOAD SONG

 DOWNLOAD SONGS

Loading...

LYRICS: Guardian Angel – Utafurahi

Chorus

Anatengeneza ushuhuda wako.ooh
mwisho wa siku kweli utafurahi sana *2
Sana Sana Sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana*2

Verse 1

Giza ni jingi wakati kunakaribia kucha .
Kukicha utaona mwanga utafurahi sana
Tatizo la mtoto naona linakukera sana kukicha utapata mtoto utafurahi sana
Tatizo la kazi jamani lina kukwaza sana kukicha utapata kazi utafurahi sana.
Sana sana sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Wakati mwingine Mungu anakujaribu tu oooh
Aone imani yako
Aone waminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako
Aone imani yako
Aone waminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako
Sana Sana Sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana*2

Chorus

Anatengeneza ushuhuda wako.ooh
mwisho wa siku kweli utafurahi sana *2
Sana Sana Sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana*2

Verse 2

Ayuubu alipoteza kila kitu chake
Mke wake akamshauri amuasi Mungu
Binadamu watakucheka sana watauliza yuko wapi Mungu wako.
Wewe shikilia imani yako
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
Sana sana sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana
wakati mwingine Mungu anakujaribu tu
Aone imani yako
Aone waminifu wako
Aone utiifu wako
Apate utukufu kwako

Chorus

Anatengeneza ushuhuda wako.ooh
mwisho wa siku kweli utafurahi sana *2
Sana Sana Sana
Mwisho wa siku kweli utafurahi sana*2

DOWNLOAD MP3 AUDIO HERE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here